He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Wednesday, 20 August 2014
TOKA TZ :"__WANAFUNZI 28,037 KUKOSA MIKOPO.
Wanafunzi 28,037 watakosa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya hivyo watalazimika kusaka njia mbadala kama wanataka kuendelea na masomo hayo. Hadi kufikia julai 31 wanafunzi 58,037 walikuwa wametuma maombi ya mkopo na bodi hiyo imesema ina uwezo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi 30,000 tu.
Pia kuhusu madai ya wanafunzi wa vyuo vitano kutaka wapewe bilioni 6.6 kwaajili ya mafunzo ya vitendo, bodi ya mikopo imesema malipo hayo yaandaliwa na kwamba hundi za malipo hayo zinatarajiwa kupelekwa katika vyuo wiki ijayo.
Vyuo hivyo ambavyo havijapata fedha ni SAUT, IFM, Teofilo Kisanji- Mbeya, Tumaini, SMUCCO na Jordan cha Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment