Sunday 16 February 2014

RIDHIWANI KIKWETE AMPA MAKAVU RUGE KUHUSU LADY JAY DEE



MTOTO WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA{TZ}Bw,RIDHIWANI KIKWETE AMEFUNGUKA YA MOYONI JUU YA KAULI YA MENEJA WA REDIO CLOUDS FM YA JIJINI DAR ES SALAAM Bw,RUGE MUTAHABA KUMNANGA MSANII LADY JAY DEE ALIYEAMUA KWENDA KUKOPA KWENYE TAASISI INAYOSIMAMIWA NA YEYE{RIDHIWANI KIKWETE}"SOCIAL CREDIT COMPANY",KUHUSIANO NA HILO RIDHIWANI AMEANDIKA MANENO HAYA NDANI YA UKURASA WAKE WA FACEBOOK SOMA HAPO CHINI,
"NIMESIKITISHWA NA UJUMBE WA RUGE MUTAHABA DHIDI YA MSANII LADY JAYDEE. NI BAADA YA KUPITIA POST ILIYOTUMWA NA MSANII LADY JAYDEE KATIKA PAGE YAKE HAPA FACEBOOK.
Kiukweli si jambo la busara kwa Ruge kuzungumza kwa watu mafanikio ya msanii Lady Jaydee kwa madai kua maonesho yake hayana kipato cha juu na kudai kua ameshuka kimuziki hivyo ameamua kujiunga na Taasisi yangu ya SOCIAL CREDIT COMPANY amepata mkopo wa kumalizia nyumba yake.
Kuhusu kukopa kila mtu anakopa haijalishi ...unawadhifa gani, nchi yetu yenyewe inakopa hivyo sidhan kama ni tatizo kwa mtu kama Lady Jaydee kujiunga katika taasisi yangu na kupewa mkopo.



Sidhani kama mawazo ya RUGE yalikua sahihi. Naomba mmalize tofauti zenu na muwe mnashirikiana katika kazi za sanaa. Amani itawale kwenu"
Awali mwanadada Lady Jay dee alifunguka kupitia kurasa yake ya facebook kuhusiana na story zilizozagaa mjini zinazovumishwa na Ruge Mutahaba{Meneja wa Redio Clouds fm} juu ya yeye kufilisika kisanaa na kushindwa kuingiza kipato kinachoweza kumkidhi kwenye mipango yake ya kimaisha katika hilo"JIDE'alifunguka kama ifuatavyo,


naye Ridhiwani Kikwete amemalizia ujumbe wake huu kwa kuandika,
unawadhifa gani, nchi yetu yenyewe inakopa hivyo sidhan kama ni tatizo kwa mtu kama Lady Jaydee kujiunga katika taasisi yangu na kupewa mkopo.

Sidhani kama mawazo ya RUGE yalikua sahihi. Naomba mmalize tofauti zenu na muwe mnashirikiana katika kazi za sanaa. Amani itawale kwenu

SOCIAL CREDIT COMPANY inatoa mikopo kwa wote bila kujali umaarufu wa mtu au utajiri wa mtu. Kila anaetaka mkopo anaruhusiwa kujiunga na akapatiwa mkopo,alimaliza Ridhiwani Kikwete.

1 comment: