KATIKA HALI YA KUSHANGAZA CHAMA CHA SOKA UTURUKI KIMEWAPIGA FAINI DROGBA NA EBOE KWA KUVAA T_SHIRT KAMA UZIONAZO
Wachezaji hao wawili wa kimataifa toka Ivory Coast waliziweka wazi hisia zao kwa ujumbe huo mara baada ya mechi ya Galatasaray dhidi ya Elazigspor mnamo siku ya Ijumaa, kwenye mechi ya kwanza toka kifo cha kiongozi huyo wa Afrika Kusini kilipotokea.
Nguli huyo wa Chelsea, Drogba alivua jezi yake kwenye mechi iliyoisha kwa kushinda 2-0 na kisha kuonyesha kuguswa kwake na kifo hicho, ambapo maandishi kwenye vesti yake yalisoma: ‘Thank you Madiba’ huku yale ya nyota wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Eboue yalisema: ‘Rest in Peace Nelson Mandela’.
ARSENAL WALAZWA MABAO MAWILI BILA NA NAPOLI.
HIGUAN AKISHANGILIA GOLI ALILOWANYOSHA ARSENAL
MSIMAMO MAKUNDI YA UEFA CHAMPION LEAGUE
hizo ni hila
ReplyDelete