Monday 17 February 2014

WEMA ANG'AKA: EBO! KAJALA ANATEMBEA NA CLEMENT


MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni.

Wema Sepetu. Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: “Nampenda sana rafiki yangu (Kajala) na sitaacha...


Kajala Masanja.
“Hakuna kitu cha Kajala nisichokijua... watu wanaweza kusema chochote lakini namjua rafiki yangu.
“Ebo! Eti anatembea na Clement? Dah Wabongo... basi hata kama kweli angekuwa anatembea naye, kwa hiyo?

“Msijaribu kuharibu urafiki wetu, wakati hamjui tumetoka wapi mimi na Kajala...”

No comments:

Post a Comment