He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Wednesday, 20 August 2014
MPYA DOWNLOAD HAPA :: video ya Anaconda ya NICK MINAJI
Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj ni staa aliezaliwa miaka 31 iliyopita kutoka kwa mama mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae Carol na Baba Robert Maraj, mwenye sifa ya utumiaji dawa za kulevya na aliewahi kutaka kumuua Mama Minaj kwa kutishia kuchoma moto nyumba yao. Nicki ni staa kutoka kwenye familia ya kawaida tu kiuwezo lakini muziki wake umebadilisha maisha yake na ya familia ambapo kwenye mfululizo wa kuzitoa nyimbo zake, anatukutanisha na hii video yake mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment