Wednesday, 20 August 2014

TOKA TABORA ::__AJALI YAUA 16 NA KUJERUHI 75 TABORA



Watu 16 wamepoteza maisha huku 75 wakijeruhiwa baada ya basi la AM likitoka Mwanza-Mpanda kugongana na basi lingine la Sabena linalofanya safari zake Mbeya - Tabora katika eneo la Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora jana.

No comments:

Post a Comment