Saturday, 2 August 2014

HUYU NDO STAA MKUBWA WA MUZIKI NCHINI MAREKANI ALIYEPOST KISWAHILI INSTAGRAM




Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram ‘madaraka kwa watu’

Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya #SIMBA

No comments:

Post a Comment