Sunday, 3 August 2014

Davido atangaza wimbo mpya aliofanya na mkali kutoka Maybach Music Group




Skelewu, Gobe, Ekuro,One of a kind,Aye ni baaadhi ya nyimbo ambazo zinamuweka Davido kwenye chati ya muziki na kumsaidia kushinda tuzo mbalimbali kama BET,MTV na nyingine nyingi.

Ikifika wiki ijayo mashabiki wa Davido wata enjoy kusikiliza nyimbo mpya kutoka kwa Davido akiwa pamoja na member wa MMG Wale. Wimbo unaitwa Won Le Ba na habari hii imetolewa na Davido mwenyewe.

No comments:

Post a Comment