Thursday, 31 July 2014

Baada ya Kipi Sijasikia,Profesa Jay amekuja na hii.




Ukiwa msikilizaji sana wa muziki wa Hiphop ukiusikia wimbo huu wa Profesa Jay kuna vitu utagundua ni kama ile michano ya kipindi cha nyuma iliyokuwa inafanywa na makundi kadhaa likiwemo la Hard Blasters Crew Hbc ambalo nae alikuwepo.


Humu kajishirikisha mwenyewe yaani wimbo wa Profesa Jay na wameshirikishwa Nigga Jay na Jay Hussle,upande wa jina la Nigga Jay ni jina alilokuwa akitumia zamani Profesa Jay kabla ya kubadilisha jina.

No comments:

Post a Comment