Wednesday, 30 July 2014

NANDO NA DAYNA KUNAN?




Ni time nyingine tena ya kuitumia remote yako kwa sababu mrembo mwingine kutoka kwenye ukoo wa bongoflvea Dyna anaidondosha video yake mpya ya single ya ‘I do’ ambayo imechukua nafasi yake kwenye vichwa vya habari toka wiki kadhaa zilizopita.

Kilichosababisha ichukua headlines ni maswali ambayo wengi wamejiuliza baada ya kuziona zile picha zake za ‘utata’ akiwa na Nando ambae ni mwakilishi wa Tanzania kwenye jumba la Big brother 2013.

Dyna ambae pia ameingia kwenye rekodi ya wasanii wachache wa Tanzania ambao nyimbo zao zinapata airtime kwenye Radio na TV nchini Kenya, hajaweka wazi kama Nando atatokea kwenye hiyo video so tusubirie tu August 1.



No comments:

Post a Comment