Wednesday, 30 July 2014

PICHA YA AJALI YA GARI AINA YA NOAH ILIYOTOKEA MORO


Hili ni gari la Noah lililopata ajali jana usiku wa saa 8 huko Morogoro Mtaa wa Mazimbu reli ya pili likiwa na vijana wanne ambapo mmoja wao kaaga dunia. Hii ni nguzo iliyogongwa na gari hilo mara baada ya kuhama njia.Sehemu ya ubavu wa kulia wa gari hilo ukiwa umeharibika vibaya.Upande wa kushoto wa gari hilo.Raia waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia ajali iliyotokea.

No comments:

Post a Comment