Thursday, 28 August 2014

#Breaking News:Emmanuel Okwi arudi Simba baada ya Kutemwa Yanga




Emmanel Okwi ameamua kurejea katika timu yake ya zamani ya Simba Sports Club,Emanuel Okwi ambaye ni raia wa Uganda rasmi leo amesaini kujiunga na Simba baada ya kuelewana na uongozi wa klabu hiyo.

Emanuel Okwi amechukua maamuzi ya kusaini kucheza timu ya Simba baada ya Yanga kumuacha.

No comments:

Post a Comment