He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Thursday, 28 August 2014
# Jokate na Ommy Dimpoz Kunani?
Sijui kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Soudy Brown ambapo kuna stori zimetoka kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Jokate na Ommy Dimpoz.
Ommy Dimpoz alipoulizwa na Soudy Brown kuhusu uhusiano huu mpya amejibu kuwa ‘Ee bwana mi sielewi chochote na hayo maswali unayonambia siyaelewi halafu cha pili mimi sina uhusiano ja Jojo’
‘Jojo ni mshkaji wangu tu mimi ni mwanamuziki na yeye mwanamuziki na ukaribu wetu umetokana na kazi lakini nimeshangaa kidogo watu wanaongea hivyo vitu lakini pia ni msichana mzuri,kuwa na bwana ni kitu cha kawaida’.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment