He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Sunday, 2 February 2014
Msanii PIPI amejifungua mtoto wa pili muda huu katika hosp ya HERBERT KAIRUKI Mikocheni Dar es Salaam
Leo ni siku ya furaha sana kwa Mrs Lucas Zuria au unaweza kumwita mama King Stone au wengi wanamwita Pipi jina ambalo alianzia nalo mziki wakati akiwa pale THT. Usiku huu mungu amemjalia amejifungua salama mtoto wa kiume na kuongeza familia yenye watoto wawili wa kiume. Katika account yake ya Instagram na Facebook ameandika status nzuri huku akimwonyesha mtoto huyo mpya kama umwonavyo kwenye picha.
“Nina furaha mpaka sijui nisemeje maana naweza nikaandika essay hapa lakini kwa ufupi tu…namshukuru mungu kwa kunipa nguvu…uhai…na mume wangu kipenzi kwa kunipa ujasiri wa kuleta jembe la pili…Asset kubwa kuliko zote duniani asikwambie mtu!!! Welcome to the family baby Brandon !!! #babynumber2″
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment