Saturday, 11 January 2014

JUSTIN BIEBER NA SELENA GOMEZ WARUDIANA ANGALIA PICHA HAPA


Picha, Justin Bieber Na Selena Gomez Warudian

 Ni mwaka mpya na wakati watu wengine wanataka kubadilisha kabisa muelekeo wa maisha yao, kuna watu bado wako kwenye ratiba zao zile zile, Wasanii wanao fatiliwa sana na paparazi nchini Marekani Selena Gomez na aliyekuwa mpenzi wake Justin Bieber wamerudisha tena mapenzi yao kwenye vichwa vya habari. Siku cheche zilizopita hizi picha
zilionekana kwenye instagram ya Selena akiwa na Justin.




No comments:

Post a Comment