Angalia; Hili ndio gari jipya analosukuma Mwana FA.
Kiukweli muziki wetu hapa Bongo unakua kila
siku na hadi sasa tunaona wanamuziki wetu wakiwa wanaendesha magari
mazuri ya kifahari kupitia jasho lao la muziki...Hivi karibuni msanii
maarufu kwa jina la Mwana Falsafa #Mwana F.A amevuta bonge moja la mkoko
ambalo alilipost katika acount yake yainstagram ambayo alikuwa akitoa
support biashara ya mwanamuziki mwenzie Jaffarai ambae anamiliki sehemu
ya kisasa ya kuoshea magari..na zifuatazo ndo picha za mkoko huo; -
No comments:
Post a Comment