Tuesday, 31 December 2013

Msanii Uliopo Nje Ya Dar es salaam, Nafasi Yako Hii Kufanya Kazi Na One The Incredible








Msanii Uliopo Nje Ya Dar es salaam, Nafasi Yako Hii Kufanya Kazi Na One The Incredible

One The Incredible, ametangaza mpango wake mkubwa wa kuzunguka kila mkoa wa Tanzania na kufanya kazi na wasanii wawili wa kila mkoa, kazi ambazo ataziingiza katika mixtape yake mpya itakayotoka katikati ya mwaka ujao.

One amesema kuwa, Mixtape hii itakuwa na jumla ya nyimbo 50 na itatoka mkwezi wa 10 mwaka 2014, na zoezi hili litaanza na mkoa wa Tanga tarehe 6 mwezi Januari.


Wakati huo huo msanii hubu bado yupo katika hatua za mwisho kabisa kukamilisha albam yake RAP itakayotoka mwezi wa 6 mwaka 2014

No comments:

Post a Comment