Thursday, 2 January 2014

Genevieve Nnaji Na D Banj Warudiana.







Wapenzi waliokuwa wanatikisa vichwa vya habari kwa kishindo miaka ya nyuma, mwigizaji mahiri wa Nollywood, Genevieve Nnaji pamoja na mwanamuziki D Banj wameripotiwa kurudisha mahusiano yao ya kimapenzi, hii ikiwa ni baada ya kutengana kwa miaka miwili.

Wawili hawa wametajwa kufungua ukurasa mpya wa mahusiano madhubuti safari hii, na wameripotiwa kuwa katika mipango ya Harusi na tayari Genevieve ameshaamia katika nyumba ya D'Nanj iliyopo huko Lekki Lagos nchini Nigeria.


Genevieve anatajwa kuwa ndiye aliyechukua hatua ya kuvunja mahusiano ya awali yaliyokuwepo kati yake na D'Banj hasa kutokana na tabia ya mwanamuziki huyu kuonyesha kuwa hana malengo yoyote ya msingi katika

No comments:

Post a Comment