Huddah Monroe aitamani Range Rover, asema amemsamehe Prezzo
Ndoto ya wasichana wengi warembo ni kuendesha gari la
kifahari, Range Rover. Wakati ambapo mademu wakali wa Afrika Mashariki
wakiwemo Zari the Boss Lady wa Uganda na Irene Uwoya wa Tanzania
wakimiliki mkoko huo wa kifahari, Huddah Monroe anamuomba Mungu ampe
gari hilo mwaka 2014.
“God the almighty .I'm not asking for much this 2014....Just deliver this to me...In the name of Jesus. Amen,” ameandika Huddah kwenye picha ya Range Rover rangi nyeupe aliyoipost kwenye Instagram.
Katika hatua nyingine, Huddah amemshukuru mpenzi wake wa zamani Prezzo kuwa ndiye aliyemsaidia wakati alipokuwa na wakati mgumu katika maisha yake licha ya wawili hao kukosana hivi karibuni na kutukanana hadharani.
“It’s hard to believe I was this skinny.....I almost underwent depression for reasons unknown! But thanks to El President for being there for me through the bad and the good.But as they say,there's a thin line between Love and hate.And all I did was react like a woman in love and shit happened.You know? At least I didn't burn his house.I'm crazy like that LOL! Kidding. As we say goodbye to 2014 ,I have to say RESPECT is a two way traffic and a forgiving heart is a blessed heart.”

No comments:
Post a Comment