Friday, 3 June 2016

Jackline Wolper mpaka nyumbani kwa wazazi wa Harmonize…..






Miongoni mwa stori zinazochukua headlines kwa sasa ni kuhusiana Mwigizaji Jackline Wolper yuko mapenzini na mwimbaji wa bongofleva Harmonize ambaye anatokea label ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, sasa headlines bado zinaendelea kuchukua nafasi ambapo Harmonize kaamua kumpeleka rasmi Wolper kwa wazazi wake huko Mtwara.

Jackline Wolper akuamua kukaa kimya baada ya kupokelewa na kupewa heshima kama mchumba wa Harmonize ambapo kupitia ukurasa wake wa instagram alipost picha ikonesha akiwa na Mama Harmonize na kuandika..’Iam having the best time of my life.. Nikiwa na Mama yangu Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe Mjipikilishe Akushauri Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj’ – Wolper


.


.


.


.


.


.

No comments:

Post a Comment