Monday, 18 August 2014

# SUARES LEO NDANI YA KIKOSI CHA BARCELONA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI

World Cup 2014: Uruguay forward Luis Suarez
Kocha wa Barcelona Luis Enrique amesema mshambuliaji wake mpya Luis Suarez leo atakuwepo katika
kikosi cha barcelona ikimenyana na Mexican champions Club Leon leo
"Amesema suarez alikuwa akifanya mazoezi ya nguvu na huku akiwa peke yake hivyo leo ni fursa kwa mashabiki wa barcelona na wa suares kumuona ndani ya chezi za barcelona

No comments:

Post a Comment