Monday, 18 August 2014

HII INAMHUSU Chris Brown na stori inayosambaa kwenye internet





Chris Brown anakaribia kutoa album yake mpya ambayo imechelewa kutoka kwasababu ya kesi zake mahakamani. Lakini hivi karibuni ilisemekana kwamba ameachana na girlfriend wake Karrueche, lakini hivi sasa story mpya ni kwamba Chris Brown amepost picha akiwa na Karrueche kwenye ukurasa wake wa instagram. Hadi post hii inawekwa yamepita masaa 4 tangu Chris Brown aipost hii picha na imepata likes zaidi ya 140,000 pamoja na comment za kutosha. Kilichobaki ni swali moja, hawa wawili wamerudiana au ni drama za promotion ya album ya Chris Brown

No comments:

Post a Comment