Sunday, 18 May 2014

TOKA RAISI KIKWETE AINGIE MADARAKANI ARSENAL HAWAJAWAHI BEBA NDOO JANA ILIKUWA FURAHA KWAO KUNYAKUA KOMBE LA FA




Klabu ya Arsenal jana ilimaliza ukame wa siku 3,283 bila kutwaa ubingwa wa aina yoyote baada ya kuifunga Hull City 3-2 kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA Cup.

Arsenal ilifunga magoli yake kupitia Santi Cazorla, Koscienly na Ramsey

No comments:

Post a Comment