Saturday, 10 May 2014

Picha ya ajali ya basi la Dar Express May 9 2014




Ni abiria zaidi ya 50 walionusurika kwenye hii ajali ya basi la Dar Express lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Nairobi leo May 9 2014 ambapo lilipofika Msata karibu na daraja la Wami lilipata ajali baada ya kupasuka tairi la mbele kushoto na kisha kupinduka.

No comments:

Post a Comment