Sunday, 23 March 2014

# RAMADHAN SINGANO AVUNJA KIOO CHA UWANJA WA TAIFA




Siku ya mechi ya Yanga na Al Ahly waling'oa viti na kuwarushia mashabiki wa Yanga!!
TFF wakadai eti mashabiki wa Yanga ndio walivunja, ila wale wa Mikia walishiriki tu! Tukapigwa faini kubwa!
Mungu hafanyiwi unafiki.
Leo MBUMBUMBU Singano kavunja kioo cha Uwanja wa Taifa ambao umejengwa kwa kodi za Watanzania woote!!
TFF watakaa tena watadai mchezaji wa Yanga nae alishiriki kuvunja kioo.

No comments:

Post a Comment