Sunday, 23 March 2014

Drake Naye Kapokea Jezi Kutoka Kwa Huyu Mchezaji Wa Liverpool



Rapper Drake wa Young Money kapokea Jezi yake mpya yenye saini ya mchezaji wa Liverpool Daniel Andre Sturridge walivyokutana. Drake kaonyesha jezi Hio yenye Maneno ‘To Drake’ Na Saini Ya Daniel.

No comments:

Post a Comment