Sunday, 9 February 2014

VIDEO YA NJEE YA BOX TOKA KWA WEUSI SASA YAPATA SHAVU CHANEL O


Video yenye week 3 baada ya kutolewa rasmi na Weusi ” Nje Ya Box” imeanza kuchezwa Channel O nchini South Africa. Hii ni moja kati ya video bora walizowahi kufanya weusi na director Nisher. Mategemeo na mafanikio ya hii video ni makubwa zaidi ya kuchezwa nje ya Tanzania tu, video hii inaonyesha malengo ya wasanii hawa kugeuza hiphop kuwa pesa Tanzania.TRUUU DAT


No comments:

Post a Comment