He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Tuesday, 11 February 2014
PENZI LA RAY NA CHUCHU HANSI SI KIFICHO TENAH !!!!!!
Penzi kati la waigizaji wawili maarufu ndani ya bongo movie, Vicent Kigosi – Ray na Mwanadada Chuchu Hans limekuwa sio siri tena baada ya hivi majuzi mwanadada Chuchu hans kuweka picha mbalimbali za Vicent kigosi na yeye kwenye mtandao mmoja wa kijamii huku akiandika “I love my babyface NO MATTER WHAT (TOO MUCH)” akimaanisha kuwa anampenda sana mwigizaji huyo kwa hali yoyote ile na anampenda sana.
Penzi hilo limekuwa la utata baada ya kuleta mtafaruku hapo siku za awali baina ya waigizaji Johari na chuchu Hans kudaiwa kuzitwanga wakimgombania muigizaji huyo.
Hatupendi kuandika mengi sana, kama huwezi kusoma basi angalia hata picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment