He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Friday, 21 February 2014
HOT NEWZ!!!--MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 YATANGAZWA, SOMA HAPA!
* Matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2013 yametangazwa, ufaulu umeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha na mwaka 2012.
* Jumla ya watahiniwa 427,679 waliandikishwa kufanya mtihani ila waliofanikiwa kufanya mtihani ni watahiniwa 404,083.
*Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.
*Wasichana waliofaulu ni laki 106,792 na wavulana waliofaulu ni laki 128,435.
* Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.
*Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
*Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113.
*Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561.
*Wavulana waliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549.
*Shule 10 zilizoongoza ni: St.Francis Girls, Marian Boys, Feza Girls, Precious Blood, Canossa, Marian Girls, Abbey
*Shule kumi zilizoongoza: Anwarite Girls, Rosmini, na DonBosco Seminary.
*Zilizofanya vibaya ni: Kisima, Kitongoni, Tongani, Njechele, Lumemo, Mvuti, Tambani, Nasibugani, Ungulu, Kitonga, Singisa, Hurui, Barabarani, Nandanga, Vihokoli, Chongoleani, Likawage, Gwandi, Rungwa, Uchindile.
*Watahiniwa kumi bora ni: 1. Robina S. Nicholaus (Marian Girls), 2. Magreth Kakoko (St.Francis Girls), 3. Joyceline Leornard Marealle (Canossa), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls), 5. Abby T. Seembuche (Marian Girls), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie), 7. Nelson Anthony (Kaizerege), 8.Emmanuel Gregory (Kaizerege), 9. Janeth Urassa (Marian Girls) na 10. Angel Ngulumbi (St Francis)
*Baraza limefuta matokeo ya watahiniwa 272 waliobainika kufanya udanganyifu katika mitihani yao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment