Tuesday, 14 January 2014

WAPEWA ADHABU YA KUOGELEA KWENYE MATOPE BAADA YA KUKOJOA KAMBI YA JESHI

https://www.facebook.com/theclicktz
Zoezi la kupiga mbizi likiendelea.
Hahahaha Pombe za asubuhi bwana..!!Jamaa walijikuta wakipiga mbizi kwenye matope kama vile wapo mtoni au swimming pool baada ya kukatiza eneo la jeshi na kukojoa eneo hilo walipo banwa na haja ndogo, walevi hao walikuwa wameongozana wakiwa wanatoka kula mvinyo

No comments:

Post a Comment