Tuesday, 14 January 2014

HUYU NDO MSANII ANAYE ONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA KWA WASANII WA BONGO




Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu. Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.




























HUYU NDO MSANII ANAYE ONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA KWA WASANII WA BONGO

No comments:

Post a Comment