Saturday, 4 January 2014

Unaweza kujishindia laki tatu kutoka kwa Ommy Dimpoz kwa kufanya hivi.




Unaweza kujishindia shilingi laki tatu kwa kutuma picha kali yenye pozi la ukweli kwenda kwa Ommy Dimpoz.

Kwenye instagram Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz anaendesha shindano la picha yenye pozi kali.
Unachokifanya ni kupiga picha na pozi la ukweli na kumtumia na yeye ataipost kwenye ukurasa wake.
Hizi baadhi ya picha walizotuma watu na jinsi ya kuzituma kwenda kwa OmmyDimpoz.






No comments:

Post a Comment