Saturday, 4 January 2014

. Tajiri mkubwa zaidi Afrika aunza mwaka kwa kujiunga na Twitter na kuiandika dunia ujumbe





Mwaka 2014 umeanza na mabadiliko kwa tajiri mkubwa zaidi Afrika, Aliko Dangote aliyeamua kujiunga na mtandao kwa kijamii wa twitter ili aweze kufanya mazungumzo na watu wengi duniani kwa wakati mmoja.

Dangote aliandika ujumbe wa kwanza January Mosi akiwatakiwa watu wote heri ya mwaka mpya.

Aliko Dangote ✔ @AlikoDangote Follow

Glad to be on Twitter. Wishing you all a prosperous New Year. Stay positively committed to achieving your dreams, nothing is impossible.

Akiwa ameandika tweets mbili tu hadi leo (January 4), ameshapata followers zaidi ya 36,500. Na ameahidi kuendelea kufanya mazungumzo na watu kupitia mtandao huo kadri anavyoweza.

No comments:

Post a Comment