Monday, 6 January 2014

SOMA ALICHOKIANDIKA ZAY B BAADA YA KUZUSHIWA KIFO LEO ASUBUHI


Msanii Zay B Kuhusu Kuzushiwa Kifo Leo Asubuhi


Mwamwamwa blog  imefatilia taarifa za kifo cha msanii Zay B toka taarifa hizi zianze kusamba asubuhi ya Tarehe 5/1/2014. Taarifa hizi inasemekana
zimetangazwa na kituo cha radio Hapa Tanzania kuwa msanii Zay B Amefariki na baada ya muda mfupi message na simu za pole zikamiminika kwa familia ya Zay B bila kujua kinacho endelea.


Mwamwamwa blog imezungumza na mmoja ya Wanafamilia ya Zay na kupata ukweli kuwa yuko hai na salama kabisa. Hii ni post yake kwenye kurasa yake ya Facebook saa mbili zilizo pita

No comments:

Post a Comment