Monday, 27 January 2014

#HUZUNI::_Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia





Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.


Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza

                              R I P MZEE DUDE

No comments:

Post a Comment