Tuesday, 28 January 2014

HUZUNI__::Mpiga tumba maarufu wa Twanga Pepeta, Soud Mohamed, almaarufu kama MCD Amefariki dunia




Habari ya kusikitisha kwetu wapenzi wa twanga pepeta, mpiga tumba maarufu wa band yetu mcd amefariki huko moshi kwa maradhi ya kifua kikuu
mungu amlaze mahala pema peponi

No comments:

Post a Comment