Tuesday, 7 January 2014

BREAKING NEWS --RAIA WA CHINA AKAMATWA UWANJA WA NDEGEE





Raia mmoja wa China amekamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere akiwa ametengeneza shanga 58 kwa kutumia pembe za ndovu na kuzivaa kiunoni akijaribu kuvuka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

No comments:

Post a Comment