Tuesday, 7 January 2014

BREAKING NEWS--MWANAMKE MTANZANIA ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE DAR





MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.

Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa.

Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.
Hadi saa 1 jioni (mida ya Tanzania); mwanamke huyu amekwishashusha kete 63

No comments:

Post a Comment