Monday, 9 December 2013

Tazama picha ya nyumba ya shilole anayoijenga kutokana na mafanikio ya muziki






Mwigizaji Shilole leo ameonesha picha ya nyumba yake mpya anayoijenga maeneo ya kimara kutokana na mafanikio ya muziki.
Katika picha hiyo Shilole aliandika “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu"
Hongera Shilole
Tazama picha ya nyumba hiyo hapo juu.

No comments:

Post a Comment