Thursday, 12 December 2013

PICHAA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA BASI LA BURUDANI,



 
.i.
Basi la Burudani leo limepata ajali maeneo ya Kabuku - Korogwe , watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.

3 comments: