Thursday, 12 December 2013

BREAKING NEWS


                      Watu wafukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Moramu SANGO-MOSHI




Kumetokea maporomoko ya kifusi katika machimbo ya Moramu katika eneo la Sango hapa Moshi jioni hii.

Kuna watu wamefukiwa ila juhudi zakuwanasua zinaendelea; bado hakujaripotiwa vifo.

1 comment: