Thursday, 19 December 2013

"MBUNGE WA MBEYA MJINI (CHADEMA) JOSEPH MBILINYI (SUGU) AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA KATIKA VIWANJA VYA SOKO KUU MWANJELWA WIKI ILIYOPITA





"MBUNGE WA MBEYA MJINI (CHADEMA) JOSEPH MBILINYI (SUGU) AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA KATIKA VIWANJA VYA SOKO KUU MWANJELWA WIKI ILIYOPITA









MBUNGE WA MBEYA MJINI (CHADEMA) JOSEPH MBILINYI (SUGU) AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA KATIKA VIWANJA VYA SOKO KUU MWANJELWA WIKI ILIYOPITA": Katika Mkutano huo Uliohudhuriwa na Wakazi zaidi ya Elfu Saba Wa Jiji la Mbeya, Mh. Sugu aliwaambia Wana-Mbeya Kuzipuuza Propaganda zinazoenezwa na Baadhi ya Mafisadi wa CCM akina Kinana, Nape Nhauye, Mwigulu Nchemba na Wenzao Kwa Kile alichokiita Kuwa ni "Kuwapaka Mafuta Kwa Mgongo wa Chupa" huku akiwakumbusha Wana-Mbeya Kuhusu taabu Walizokuwa nazo Enzi hizo akiwa Mwanamziki Kabla ya Wao Kumhitaji Kuwa Msemaji na Mpambanaji Wao Bungeni, Majukumu anayoyafanya Kwa niaba yao! Aidha Sugu aliwaeleza Wakazi hao wa Mbeya Mjini Mafanikio Mengi na ya Mfano wa Kuigwa na Wabunge Waliowahi Kuongoza Jimbo hilo na Kushindwa Kuyafanikisha Katika Vipindi Vyao vyote. Pia Sugu aliwaeleza Kwa namna ambavyo anawashirikisha Wapenzi wa Soka wa Mkoa Mzima wa Mbeya Kwa Ujumla Katika Kuijenga na Kuimaarisha timu yao ya "Mbeya City". TUKIUNGANA PAMOJA BILA HUJUMA NA USALITI TUTASHINDA!

No comments:

Post a Comment