DIAMOND PLATNUMZ awatembelea watoto yatima leo na kuwapa zawadi ya Xmas
Siku yangu ya leo baada ya Swalt Ijumaa niliitumia kutembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu Kilichopo Buguruni, ambapo nilikula nao chakula cha mchana, tukacheza na Kwa mara ya kwanza nikawapa fursa ya kutazama video yangu Mpya ya Number one remix… Na kisha nikawapa Complimentary 50 za kuja kusheherekea na kutazama Live show yangu ya watoto itakayofanyika Leaders Club 25/12/2013 siku ya Christmass…!!!!
No comments:
Post a Comment