Waziri wa maliasili mh. Kagasheki atangaza kujiuzuru bungeni
.jpg)
Waziri wa maliasili mh. Kagasheki atangaza kujiuzuru bungeni Muda huu .Mh Kagasheki amezhukua uamuzi huo mara baada ya ripoti ya kamati ya Bunge iliyosomwa leo Kumtuhumu kuzembea katika oparetioni tokomeza.
WAZIRI AMETANGAZA KUWASILISHA BARUA KWA ALIYEMTEUEA
No comments:
Post a Comment