Friday, 20 December 2013

‪#‎BREAKINGNEWS‬ Watu 7 wamekufa papo hapo na wengine wengi inasemekana wamejeruhiwa





‪#‎BREAKINGNEWS‬ Watu 7 wamekufa papo hapo na wengine wengi inasemekana wamejeruhiwa baada ya basi la Allys linalofanya safari zake kati ya DSM na Mwanza kugongana uso kwa uso na Hiace katika eneo la Buhongwa mkoani Mwanza.

No comments:

Post a Comment