Friday, 27 December 2013

BREAKING NEWS--Kada wa CCM katika Jimbo la Ngara Dr.Peter Bujari amejiondoa CCM nakujiunga na Chama makini



Kada wa CCM katika Jimbo la Ngara Dr.Peter Bujari amejiondoa CCM nakujiunga na Chama makini CHADEMA.Amesema kilichomfanya kujiunga na CHADEMA ni uongozi thabiti usioyumba wa Mh.Mbowe na Dr.Slaa.

No comments:

Post a Comment