Monday, 13 June 2016

Majibu ya Abdu Kiba Kuhusu kujiunga WCB ya Diamond Platnumz




Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Abdu Kiba yuko tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya Diamond Platnumz, June 8 2016 pamoja na millardayo.com imekutana na Abdu Kiba na katoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB.


>>’Si kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya huku’

No comments:

Post a Comment