Jumamosi ya May 21 2016 stori ambayo imegonga headlines za muziki wa Bongo fleva ni kutoka Nigeria katika kituo cha TV cha Sound City, kituo ambacho ni moja kati ya vituo vinavyocheza video zenye viwango vya kimataifa, Sound City weekend hii imecheza TOP 10 ya video kali East Africa, kwa upande wa Tanzania wasanii sita walifanikiwa video zao kuwa katika list hiyo.
View image on Twitter
Follow
Soundcity Africa @SOUNDCITYtv
Holding the #1 spot this week | G-Nako - Original |#SoundcityTopTenEast
11:57 AM - 21 May 2016
66 Retweets
55 likes
10- Ben Pol – Moyo Mashine
9- Nedy Music ft Ommy Dimpoz ‘Usiende Mbali’
8- Navio – Njogereza
No comments:
Post a Comment