Tuesday, 28 July 2015

RASMI>>LOWASA ATUA CHADEMA





Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema umemualika rasmi Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa kujiunga ili kushirikiana nao katika harakati za kuking'oa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu ujao. Akitangaza uamuzi huo jana Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa mwenza wa UKAWA, Mhe. James Mbatia amesema UKAWA unamkaribisha kila mtanzania mwenye nia njema ya kuitakia nchi hii amani na maendeleo.

No comments:

Post a Comment