He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Saturday, 11 July 2015
BAADHI YA WAJUMBE NEC WAPINGA UTEUZI JE ? WAJUA NI WAKINA NANI HAO bofya hapa
July 10 2015 inaripotiwa taarifa nyingine kutoka Dodoma Tanzania… Watu wengi wamekaa tayari kujua nini ambacho kitaamriwa Dodoma kuhusu Mgombea Urais ambae anateuliwa na CCM kugombea Urais wa Tanzania 2015.
Majina yalikuwa mengi zaidi ya 38, hii ndio list ambayo imetangazwa kuingia Top Five kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM @ccm_tanzania
Saa chache zilizopita Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye aliongea na waandishi wa habari kwamba majina matano yamewasilishwa Kamati Kuu na majibu itakuwa ni kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment